Bao

Klubo Internacia de Bao-Amantoj
(KIBA)

Tanzania

Chama cha Mashabiki wa Bao cha Kimataifa

UK

International Club of Bao Lovers

Italia

Gruppo Internazionale di Appassionati di Bao

Mashabiki wa Bao la Kiswahili wanatawanyika dunia nzima, lakini hawawezi kukutana kwa urahisi na kucheza pamoja!
Tunafikiri kwamba baruapepe ingeweza kutusaidia kucheza tukikaa nyumbani na kulingana na nafasi yetu!

Chama hiki bado ni mpango tu, kwa hiyo tunakuombea utusaidie kuutekeleza kwa kujiunga nasi!

There are people scattered all around the world who are interested in Bao, but it is very hard for them to meet and play!
We think that e-mails could help us to play at home and at our pace!

This Association is still a project, so please help us to realize it joining us!

Sparsi nel mondo vi sono persone interessate al gioco del Bao, ma è molto difficile incontrarsi e giocare!
Pensiamo che la posta elettronica potrebbe aiutarci a giocare da casa e ai nostri ritmi!

Questa Associazione è ancora un progetto, quindi aiutaci a realizzarlo unendoti a noi!

Prova
Mkongo 2007 Mkongo 2007